Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Nasibo Tadicha afikishwa mahakamani

  • | NTV Video
    212 views
    Duration: 1:35
    Mshukiwa mkuu katika mauaji ya kikatili ya msichana mwenye umri wa miaka 19, Nasibo Tadicha, yaliyotokea mwezi uliopita katika eneo la Malkagalla kaunti ya Isiolo, amefikishwa mbele ya mahakama kujibu mashtaka yanayomkabili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya