- 1,720 viewsDuration: 3:14Mshtakiwa katika kesi ya mauaji yaliyotokea Barabara Kuu ya Mombasa karibu na Uwanja wa Nyayo, Emmanuel Githua Kiburi, ataendelea kuzuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Industrial Area kwa siku 21. Githua anadaiwa kumuua Kennedy Kibet Ngeno kwa kisu kabla ya kumjeruhi mwanamume mwingine aliyejaribu kuingilia mzozo huo.