- 1,883 viewsDuration: 4:23Mashirika mbalimbali yaendelea kuwasilisha maoni yao kuhusu mswada wa fedha wa mwaka wa 2026/ 2027mbele ya kamati ya bunge ya fedha na mipango hapa jijini Nairobi. walioko hivi sasa ni waakilishi kutoka Chama cha Wahasibu ACCA.