Skip to main content
Skip to main content

Mtaa wa Chuna Katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado wapata sura mpya

  • | NTV Video
    181 views
    Duration: 1:15
    Mtaa wa Chuna Katika Mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado umepata sura mpya baada ya wakazi kwa Ushirikiano na Mamlaka ya kusimamia barabara za mashinani KeRRA kushirikiana kujenga kilomita moja ya barabara ya lami inayounganisha barabara kuu na eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya