26 May 2026 1:21 pm | Citizen TV 6,351 views Duration: 1:41 Mtu mmoja amepigwa risasi kichwani na maafisa wa polisi katika kituo cha kupokea matibabu ya Methadon kwa waraibu wa mihadarati katika eneo la Kombani, Kaunti ya Kwale County.