- 4,449 viewsDuration: 2:15Mtu mmoja ameuawa huku zaidi ya waandamanaji 50 wakikamatwa kufuatia maandamano ya kupinga ujenzi wa kituo cha karantini ya Ebola kwa raia wa Marekani katika kaunti ya Laikipia. Maandamano hayo, kwa wiki ya pili sasa, yameshuhudiwa kwa vurugu na makabiliano kati ya maafisa wa polisi na waandamanaji.