Skip to main content
Skip to main content

Muheria awataka vijana kukataa kutumiwa kisiasa

  • | Citizen TV
    625 views
    Duration: 2:11
    Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki jimbo la Nyeri Anthony Muheria amewataka vijana kukataa kutumiwa kuzua vurugu kwenye mikutano ya kisiasa na badala yake watumie nguvu zao kushinikiza mageuzi na uongozi bora. Akizungumza wakati wa matembezi ya kila mwaka ya vijana wa dhehebu hilo katika kaunti ya Nyeri, Muheria pia amewataka vijana kuweka kwenye mizani ulaghai wa wanasiasa wanaotafuta nafasi za uongozi.