- 2,399 viewsDuration: 3:05Aliyekuwa Mbunge wa Gatundu North, Patrick Muiruri, amesimulia mazungumzo yake ya mwisho na mfanyabiashara marehemu Tob Cohen, akiiambia Mahakama Kuu ya Kibera kwamba Cohen alikuwa na hofu kubwa baada ya madai ya kutishiwa maisha na mkewe Sarah Wairimu. Shahidi huyo anasema rafikiye Cohen alikuwa amewaeleza kuhusu misukosuko ya ndoa yake na alikuwa na nia ya kumpa talaka mkewe. Ben Kirui amefuatilia vikao na hii hapa taarifa yake