Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aonya wafadhili wa wizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    773 views
    Duration: 1:24
    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, kwa mara nyingine amewaonya wanaofadhili wizi wa mifugo katika kaunti za Samburu, Baringo na Isiolo, akisema serikali itawachukulia hatua kali. Run VCR (22 secs) Akizungumza wakati wa kikao cha usalama katika eneo la Lolmolog na Bonde la Malaso, kaunti ya Samburu, Murkomen amesema serikali itatuma vikosi maalum vya usalama kuendesha oparesheni ya kurejesha amani katika maeneo yaliyokumbwa na wizi wa mifugo. Aidha, amesema serikali haitawavumilia maafisa wa polisi watakaobainika kushirikiana na wahalifu hao.