4,543 views
Duration: 3:06
Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amepuuza mapokezi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta siku ya Ijumaa, akiyataja kama “tukio ndogo sana” ambalo halikustahili kiwango cha uangalizi kilichotolewa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya