- 5,996 viewsDuration: 3:02Waziri wa Usalama, Kipchumba Murkomen, amejipata katikati ya mtafaruku kutokana na misimamo tata ya serikali kuhusiana na ghasia za kisiasa na makundi ya wahuni. Murkomen, ambaye ana jukumu la kuhakikisha wakenya wote wanalindwa kwa usawa na utulivu unadumishwa nchini anaonekana kuyumba, huku kauli zake za hivi karibuni zikiwataka wanasiasa kutofika kwenye maeneo ambapo wahuni wanatarajiwa kuzua fujo, badala ya kuwapa ulinzi.