- 17,982 viewsDuration: 2:33Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amekiri kuondolewa kwa usalama wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kwa kile anachosema ni kushiriki mipango ya ghasia kwenye mikutano ya kisiasa. Murkomen ameonekana kumjibu Gavana Natembeya baada ya gavana huyo kusema kuwa amenyang’anywa walinzi wake kwa mara ya pili siku za hivi punde. Natembeya amesema ataendelea kuikosoa serikali ya Rais William Ruto bila uoga.