- 3,966 viewsDuration: 3:47Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameshinda muhula wake wa saba baada ya kupata asilimia 71 ya kura zote zilizopigwa, mpinzani wake mkuu Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine akipata asilimia 24. Hata hivyo, katika ujumbe wa video kwenye mitandao yake ya kijamii, Bobi Wine amekataa matokeo hayo na kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Uganda kuweka matokeo mtandaoni ili yaonekane wazi. Ametaja uchaguzi huo kuwa usio wa haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive