- 200 viewsDuration: 1:35Muundo wa usambazaji wa maji safi na salama katika jamii ulioanzishwa na serikali ya kaunti ya Kirinyaga kwa ushirikiano wa shirika la E-water,wavutia nchi za kimataifa, huku mataifa hayo yakipata hamu ya kugundua siri ya ufanisi wa mradi huo.