23 Sep 2026 1:28 pm | Citizen TV 530 views Duration: 1:57 Kundi la wanawake chini ya mwavuli wa Maendeleo Ya Wanawake limeanzisha mpango wa amani unaolenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kampeni za kisiasa za amani kuelekea uchaguzi mkuu.