Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa Upinzani waitaka ICC kumchunguza Ruto

  • | Citizen TV
    1,668 views
    Duration: 2:29
    Muungano wa Upinzani sasa unaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Rais William Ruto, kufuatia kuongezeka kwa visa vya uhuni nchini. Wakizungumza hapa Nairobi, viongozi hao wamedai Rais Ruto amehusika pakubwa na kuongezeka kwa visa hivyo, wakirejelea kisa cha Jumapili ambapo kundi la Linda Mwananchi lilishambuliwa na watu wawili kuaga dunia.