Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa upinzani wakosoa vipaumbele vya serikali

  • | Citizen TV
    4,682 views
    Duration: 2:53
    Muungano wa upinzani umeitaka idara ya usalama kuweka kipaumbele katika mageuzi na utendakazi wa polisi badala ya kutilia mkazo masuala ambayo si ya kimsingi. Viongozi hao wametaja kuzinduliwa kwa sare mpya za polisi miaka minane baada ya kuzinduliwa kwa sare nyingine kama uharibifu wa rasilimali za kitaifa. Aidha, wamekosoa ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.