- 7,168 viewsDuration: 3:38Viongozi wa upinzani wameendeleza shinikizo la kutaka tume huru ya mipaka na uchaguzi IEBC kumtema afisa mkuu mtendaji Hussein Marjan Hussein na kufutilia mbali zabuni yake ya kutumia teknolojia ya kampuni ya smartmatic katika mitambo ya kidijitali katika uchaguzi. Wakizungumza huko kathiani kaunti ya machakos wakati wa mazishi ya marehemu mzee jonathan kiilu babake waziri wa ugatuzi kanti hiyo askofu Joel Nzomo Kalonzo na Gachagua wamekosoa mradi wa nyota na rabsha zilizoshuhudiwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na Rigathi Gachagua huko Nyeri