27 Jul 2026 10:10 am | Citizen TV 2,042 views Duration: 1:40 Muungano wa wafanyakazi wa Reli nchini (RAWU) umetishia kulemaza huduma za usafiri wa treni iwapo malalamishi ya wafanyakazi yataendelea kupuuzwa.