Skip to main content
Skip to main content

Muuzaji wa nafaka Narok ashinda Sh1 milioni katika kampeni ya Shabiki InaGive

  • | Citizen TV
    414 views
    Duration: 1:04
    Roselyne Akinyi Okello, muuzaji wa nafaka na mboga kutoka Kaunti ya Narok, amekuwa mshindi wa wiki ya tatu katika kampeni ya Shabiki InaGive kwenye Shabiki.com, akijishindia Sh1 milioni baada ya kucheza mchezo wake anaoupenda wa Crash. Ushindi huo ukiwadia wakati shule zinapofunguliwa, Roselyne amesema atatumia sehemu ya fedha hizo kulipia karo ya wanawe. Mashabiki wanaopata kiongezaji cha juu zaidi kwa wiki katika mojawapo ya michezo kwenye Shabiki.com hupata nafasi ya kujishindia Sh1 milioni.