- 3,485 viewsDuration: 56sIdara ya Utabiri wa hali ya anga nchini sasa inatabiri kuwa mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini zitaendelea wiki hii. Taarifa ya Idara hii ya anga ikiarifu kuwa mvua zitaendelea katika maeneo ya Pwani na sehemu na magharibi na kaskazini mashariki.