Skip to main content
Skip to main content

Mvulana azuiliwa kwa madai ya ubakaji na mauaji ya watoto wawili Kisii

  • | Citizen TV
    7,635 views
    Duration: 2:54
    Maafisa wa polisi katika eneo la Suneka, kaunti ya Kisii, wanamzuilia mvulana mwenye umri wa miaka 14 kwa madai ya kuwabaka na kuwaua watoto wawili wa kike. Watoto hao wenye umri wa miaka minne na mitano walitoweka Jumanne kabla ya miili yao kupatikana katika shamba. Polisi wanasema uchunguzi unaendelea na unalenga kuwabaini na kuwakamata washukiwa wengine wanaohusishwa na tukio hilo. Franklin Wallah anaripoti.