- 13,478 viewsDuration: 3:31Mzozo umeendelea kutokota kuhusu uchimbaji wa madini ya msitu wa mlima wa Mrima eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale. Serikali ya kaunti imeendelea kupinga juhudi za wizara ya madini kufanya mikutano katika eneo hilo ikidai kutohusishwa katika shughuli hiyo.