Skip to main content
Skip to main content

Mvutano wazidi kuhusu uwanja wa ndege Msitu wa Imenti

  • | Citizen TV
    776 views
    Duration: 3:07
    Mvutano unaendelea kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika Imenti Forest, baada ya picha za angani kuonyesha shughuli za ujenzi zikiendelea licha ya amri ya mahakama iliyositisha mradi huo hadi kesi iliyowasilishwa iamuliwe. Wanaopinga mradi huo walisusia kikao cha kupokea maoni ya umma, wakidai agizo la mahakama halijaheshimiwa. Hata hivyo, wanaounga mkono mradi huo wanasisitiza kuwa uwanja wa ndege utachochea maendeleo ya kiuchumi na kuboresha huduma kwa wakazi wa eneo hilo.