Skip to main content
Skip to main content

| MWAKA WANGU | Bwawa Kuu La Ethiopia

  • | Citizen TV
    3,296 views
    Duration: 2:57
    Limetajwa kuwa bwawa kubwa zaidi barani Africa, lenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati elfu sita za umeme. Ni Bwawa la "Ethiopian Grand renaissance dam" lililojengwa kwenye mto wa Blue Nile nchini Ethiopia. Bwawa hilo limeleta matumaini kwa nchi hiyo sio tu kujitosheleza kwa umeme bali pia kwa wananchi wake kutumia kawi. Bonface Barasa alizuru bwawa hilo na kuandalia taarifa ifuatayo.