Skip to main content
Skip to main content

| MWAKA WANGU | Kifo Cha Raila Odinga

  • | Citizen TV
    8,258 views
    Duration: 6:48
    Kifo cha ghafla cha waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kiliiitosa kenya kwenye mshtuko na majonzi oktoba mwaka wa 2025. Mshtuko huo haukuwasaza wanahabari ,wakiwemo wahariri na maripota wa royal media services.. Stephen Letoo alikumbana na tanzia hiyo ya ghafla ana kwa ana aliposafiri hadi nchini india kutathmini hali na kisha kuurejesha mwili wa Raila nchini, akiwa ameandamana na viongozi mbalimbali na wanafamilia.