- 817 viewsDuration: 5:51Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta zilizoshuhudia misukosuko si haba mwaka huu huku migomo na changamoto za utekelezwaji wa bima ya afya ya SHA zikisalia dhahiri sehemu nyingi. Kutoka mgomo mrefu zaidi wa wahudumu wa afya katika kaunti ya Kiambu hadi tabasamu ya muuguzi aliyehudumu kwa zaidi ya miongo miwili katika hospitali kuu ya rufaa nchini, mwanahabari wetu Mary Muoki alikuwa mstari wa mbele kutufahamisha yote haya kuhusu sekta ya afya.