- 1,615 viewsDuration: 13:15Mpekuzi wa runinga ya citizen Ode Francis alikuwa kwenye makafani ya nairobi mara zisizohesabika mwaka wa 2025. Alijionea mengi na kushuhudia mahangaiko ya waliofika hapo kutafuta na kutambua miili ya wapendwa wao. Ode anakupatia taswira kamili ya anachopitia kabla ya wewe kupata taarifa kamili.