Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wa kike kaunti ya Kamene aanzisha mpango wa matangi ya maji katika shule za Machakos

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 1:48
    Mwakilishi wa kike Kaunti ya Machakos Joyce Kamene Kasimbi ameanzisha mpango wa kuhakikisha kwamba shule zote za msingi zinapata matangi ya kuhifadhi maji wakati wa mvua.