Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wa kike Machakos Joyce Kamene adai suala la utovu wa nidhamu shuleni lapaswa kuchunguzwa

  • | Citizen TV
    328 views
    Duration: 1:39
    Mwakilishi wa kike wa kaunti ya Machakos Joyce Kamene asema suala la utovu wa nidhamu shuleni lapaswa kuchunguzwa kwa kina huku akipinga pia ujenzi wa Karantini ya ebola mjini Nanyuki.