- 10,688 viewsDuration: 2:48Mwanafunzi wa gredi ya 10 amefariki kufuatia kile kimeripotiwa kuwa mzozo kati yake na mwanafunzi mwenzake katika shule ya upili ya Thika. Inaripotiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakizozana kuhusu ni nani angeongoza maombi ya usiku. Familia ya mwanafunzi aliyefariki sasa ikitaka haki.