16 Jan 2026 10:19 am | Citizen TV 706 views Duration: 1:32 Siku moja baada ya runinga ya Citizen kuangazia taarifa ya Cecilia Kerubo, mwanafunzi aliyekata tamaa kujiunga na shule ya Kitaifa ya AIC Litein hatimaye ameanza masomo ya sekondari ya juu katika shule hiyo.