Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa chuo cha ualimu Kitui alazwa hospitalini baada ya kushambuliwa na mpenziwe

  • | Citizen TV
    205 views
    Mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 20 katika Chuo cha walimu cha Kitui anauguza majeraha mabaya katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kitui baada ya kushambuliwa na mpenzi wake, ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari ya msingi.