Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa gredi ya 9 auwawa Gilgil

  • | Citizen TV
    859 views
    Duration: 1:18
    Familia ya Mwanafunzi wa gredi ya tisa katika shule ya msingi ya Echariria, Gilgil kaunti ya Nakuru aliyeuwawa kinyama wiki hii inataka uchunguzi wa kina kufanywa ili kubaini kilichomuuwa.