23 Sep 2026 10:34 am | Citizen TV 6,624 views Duration: 1:45 Familia ya mwanahabari Nelson Musungu kutoka Lukhuna B, Eneobunge la Kimilili, Kaunti ya Bungoma, inaomba msaada wa kifedha kumwezesha kupata matibabu ya ugonjwa wa figo.