25 Sep 2026 10:06 am | Citizen TV 27,762 views Duration: 52s Mwanaharakati Muteti Mulinge, aliyeripotiwa kutoweka wakati wa vurugu zilizotokana na maandamano ya Kizza Besigye, amepatikana akiwa hai baada ya kutupwa eneo la Mlolongo.