- 1,422 viewsDuration: 5:15Katika makala ya Mwanamke Bomba hii leo, tunamuangazia Leah Ambwanya, mwanamke ambaye ndoto yake ilikuwa kumiliki shule ya kifahari ya kibinafsi, ila mapenzi yake ya kusaidia watoto kutoka familia zenye mapato ya chini yalimskuma kuanzisha kituo cha kulea watoto mayatima na kuwezesha vijana eneo la Kaveani, kaunti ya Machakos. Leah Ambwanya, ambaye sasa amekuwa mama mlezi wa takriban watoto 60, anasema wengi wao amewaokoa kutoka kwa ndoa za utotoni, wengine kutoka kwa mizozo ya familia na wengine kutoka kwa familia za kurandaranda mitaani. Hebu tusikilize simulizi yake.