Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke Bomba | Milka Wangari avunja ukiritimba wa wanaume

  • | Citizen TV
    1,306 views
    Duration: 4:03
    Ufundi wa magari ni kazi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikifanywa na wanaume lakini sasa wanawake pia wameonekana kujitosa katika ujuzi huo. Milka Wangari mwenye umri wa 28 amebobea katika ufundi wa magari kitengo cha nyaya za umeme kazi anayosema alijifundisha kutoka kwa kakake baada ya kumaliza kidato cha nne. Milka ambaye ni mama wa watoto watatu ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke bomba wiki hii