- 1,179 viewsDuration: 4:40Mapato ya chini katika ajira ni mojawapo ya sababu zinazofanya watu wengi kuacha kazi na kuhangaika kutafuta ajira yenye malipo bora. Hali hoiyo ndio iliyomfanya ilye slim ambaye alikuwa ameajiriwa kama mwalimu wa chekechea kuanzisha biashara yake na sasa amewaajiri watu wengine. Ilye ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya vipodozi huko mombasa ndiye anayetupambia makala ya mwanamke bomba wiki hii.