- 64 viewsKatika ulimwengu unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, wanawake wameendelea kufana katika nyanja mbalimbali za taaluma. Saumu Ayub Shaka ni miongoni mwa wanawake hawa akifuata nyayo za babake Ayub Shaka aliyefahamika kwa kutoa matangazo ya utabiri wa hali ya anga. Saumu akiivalia kwa utaalamu wa kisayansi kazi yake ya utabiri wa hali ya anga. Leo tunamvisha Saumu taji kwenye mwanamke Bomba.