- 16,538 viewsDuration: 4:46Mwanamke mmoja aliyempoteza mumewe aliyekuwa dereva wa masafa marefu kupitia ajali amekamilisha matembezi ya kilomita 922 kutoka malaba hadi mombasa. Joyce jepkosgei amesema madereva wengi wametelekezwa na waajiri wao na hata serikali.