Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke na binti wake wateketea moto Kericho, polisi wanchiunguza tukio

  • | Citizen TV
    1,655 views
    Duration: 2:21
    Polisi katika kaunti ya kericho wanachunguza mkasa wa moto uliotokea kijijini poiwek usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanamke mmoja na bintiye wa miaka 8 waliaga dunia. Katika kisa tofauti eneo la Ngecherok, familia nyingine inakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya moto kuteketeza nyumba yao na magari mawili.