- 8,111 viewsDuration: 2:48Phresha Kagonya Musamula alijifungua mtoto ambaye ni huntha hali iliyomkosesha usingizi na kuzunguka kila aliposikia anaweza kupata usaidizi angalau mtoto wake arejee kuwa sawa. Je ilikuwaje? Huntha ni nini? Tazama kwa reçu simulizi cii hapa hapa Youtube Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw