9 Sep 2026 10:12 am | Citizen TV 2,041 views Duration: 48s Mwanaume mmoja amefariki baada ya jumba alilokuwa ndani kuporomoka Ogembo, Kisii. Jumba hilo lilikuwa likijengwa na mvua kubwa inadaiwa kuchangia kuporomoka kwake