- 264 viewsDuration: 1:46Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini IEBC Erastus Ethokon amewaonya wanasiasa wanaogombea viti mbali mbali vya uongozi, dhidi ya kutumia vijana kama wahuni kuvuruga amani nchini, akisema wakipatikana hawataruhusiwa kuwania wadhifa wowote mwaka 2027.