Skip to main content
Skip to main content

Mwisho wa dunia utakuwaje?

  • | BBC Swahili
    12,952 views
    Duration: 1:17
    Siku moja, ulimwengu unaweza kufikia mwisho wake. Wanasayansi hawana uhakika jinsi itakavyotokea, lakini hizi hapa ni nadharia tatu. Faida Ngaga anaelezea #bbcswahili #mwishowadunia #sayansi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw