26 May 2026 2:16 pm | Citizen TV 2,195 views Duration: 4:13 Kwa wengi, uzee huwa kipindi cha kupumzika baada ya miaka mingi ya kazi, lakini kwa Dickson Nyakomita wa Kaunti ya Homa Bay County, maisha baada ya kustaafu yamekuwa mwanzo wa safari mpya ya elimu.