- 9,594 viewsDuration: 3:08Mzozo wa umiliki wa ardhi yenye dhahabu huko ikolomani kaunti ya Kakamega umeendelea kuchachahuku wakazi wa eneo la Isulu wakishinikiza kuhusishwa kwenye maamuzi yote kuhusu uchimbaji wa madini hayo. Wakazi hao wameitaka serikali kuweka mipango kabambe ya kuwafidia watakaoondoka kwenye ardhi zao, kando na kutangaza mustakabali wa wachimbaji migodi wa eneo hilo.