1 Sep 2026 10:41 am | Citizen TV 2,217 views Duration: 1:00 Mkutano wa chama cha UDA ulivurugwa kwa muda baada ya makundi mawili ndani ya chama hicho kukabiliana katika mzozo wa kisiasa wakati wa ufunguzi wa ofisi ya UDA eneo la Budalang’i.