- 5,823 viewsDuration: 2:54Mzozo umekumba urithi uliowachwa na marehemu jaji David Majanga aliyefariki Julai mwaka jana huku mvutano ukiibuka kuhusu mali yake. Babake marehemu majanja sasa akitaka idara ya mahakama kuharakisha utatuzi wa kutolewa kwa malipo ya majanja kwa nduguye mdogo kama alivyotaka marehemu. Kuna baadhi ya jamaa zake wanaotaka urithi huo kugawanywa kwao pia